Ukweli katika Qur'ani Tukufu /12
TEHRAN (IQNA) – Watafiti wa Australia wamethibitisha kwamba maji matamu yanaweza kupenya matabaka yaliyo katika kina cha na kubaki humo kwa zaidi ya miaka 20,000. Qur’ani Tukufu katika mojawapo ya aya zake imetaja jambo hili la kustaajabisha.
Habari ID: 3476664 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/06